Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanajidhalilisha sana kwa maisha yao ya kipuuzi. Utashangaa jamaa anatoka katika jamii ya watu maskini badala ya kuwasaidia katika kuchangia jamii kielimu na mambo mengine jitu linachezea pesa ambayo tena kodi yake inakuwa kubwa baadae anafulia. Pamoja na kwamba pesa ile umeitolea jasho lakini mimi naona sio kabisa. Na hawa wanaojiita Maceleb wa huku kwetu wakiona wanaiga. Basi inakuwa upuuzi mtupu.