Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
moja kati ya vyuo vilivyokua kwenye malengo yangu ya baadae ni hiki cha nelson mandela...nimesiktka sana kuona uozo huu!!! ila naimani ni kwa muda tu embu kuwa na subira na mjitahidi kuwasiliana na uongozi...poleni sana..Habari wadau wa Jamii Forum, je hii ni haki wanafunzi wa chuo cha Nelson Mandela wa mwaka wa pili hawajapewa hela ya kufanyia research na chuo kinasema hakina hela za kuwapa wanafunzi kwa ajili ya research na hiki ni chuo kipya je tutafika kweli jamani? na wanasema lengo kuu la nelson mandela ni kuikwamua nchi yetu kwenye umaskini kwa kufanya utafiti na wanasema hakuna hela za kufanyia utafiti. Je ni kweli serikali haijaipa chuo cha nelson mandela hela za kufanyia utafiti kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho? wanasema wanataka ufanye publication kwenye international journal halafu wanasema hawana hela za kwenda kwenye mafunzo wala conferences sasa je wanafunzi watapublish vipi papers. kabla ya hapo walisema wanafunzi wa PhD watapewa milioni 37 na master milioni 12 na ghafla wanasema hawana hela sasa kwa nini walisema watawapa wanafunzi hela kumbe hamna hela na wanawazuia wanafunzi kutofanya utafiti? je tutafika kweli jamani tukiendelea hivi? wanafunzi waliambiwa waandike budget waliandika budget kutokana na tafiti zao lakini cha ajabu hizo budget zilipitishwa pamoja na proposal halafu baadae wanasema hizo budget hazifai wakati commetees zilipitisha hizo budget, je ni kwa nini walipitisha hizo proposal ambazo zilikuwa na budget? je tutafika kweli na tunawaandaa vipi viongozi wa kesho? na baadhi ya viongozi wa chuo wanasema hawawezi kuonana na wanafunzi wawasiliane kwa email tu je tutataua vipi matatizo ya kijamii kama hamtaki kukaa meza moja na wanafunzi? jamani tunaomba tubadilike kama kweli tunataka nchi yetu iendelee na kama tuna uchungu na nchi yetu
Habari wadau wa Jamii Forum, je hii ni haki wanafunzi wa chuo cha Nelson Mandela wa mwaka wa pili hawajapewa hela ya kufanyia research na chuo kinasema hakina hela za kuwapa wanafunzi kwa ajili ya research na hiki ni chuo kipya je tutafika kweli jamani? na wanasema lengo kuu la nelson mandela ni kuikwamua nchi yetu kwenye umaskini kwa kufanya utafiti na wanasema hakuna hela za kufanyia utafiti. Je ni kweli serikali haijaipa chuo cha nelson mandela hela za kufanyia utafiti kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho? wanasema wanataka ufanye publication kwenye international journal halafu wanasema hawana hela za kwenda kwenye mafunzo wala conferences sasa je wanafunzi watapublish vipi papers. kabla ya hapo walisema wanafunzi wa PhD watapewa milioni 37 na master milioni 12 na ghafla wanasema hawana hela sasa kwa nini walisema watawapa wanafunzi hela kumbe hamna hela na wanawazuia wanafunzi kutofanya utafiti? je tutafika kweli jamani tukiendelea hivi? wanafunzi waliambiwa waandike budget waliandika budget kutokana na tafiti zao lakini cha ajabu hizo budget zilipitishwa pamoja na proposal halafu baadae wanasema hizo budget hazifai wakati commetees zilipitisha hizo budget, je ni kwa nini walipitisha hizo proposal ambazo zilikuwa na budget? je tutafika kweli na tunawaandaa vipi viongozi wa kesho? na baadhi ya viongozi wa chuo wanasema hawawezi kuonana na wanafunzi wawasiliane kwa email tu je tutataua vipi matatizo ya kijamii kama hamtaki kukaa meza moja na wanafunzi? jamani tunaomba tubadilike kama kweli tunataka nchi yetu iendelee na kama tuna uchungu na nchi yetu

Sijui nani alituloga hii nchi, nothing seems to move,yani vile nilikuwa na matumaini na hichi chuo kumbe na wao wameanza mambo yaleyale!