Nelson mandela african institute of science and technology

Dah!Tutamkumbuka sana baba wa taifa.
 
miaka miwili tu na idadi ndogo ya wanachuo ngoma ishaanza kuwazingua!, miaka ijayo na wanachuo wengi zaidi itakuwaje???
 
moja kati ya vyuo vilivyokua kwenye malengo yangu ya baadae ni hiki cha nelson mandela...nimesiktka sana kuona uozo huu!!! ila naimani ni kwa muda tu embu kuwa na subira na mjitahidi kuwasiliana na uongozi...poleni sana..
 


mpewe hizo fedha za research au msipewe mimi naona sawa tu engineering imesomwa takribani fifty years kwa nchi hii kwenye level ya university lakini hakuna ugunduzi wowote ule, hii ni biashara kichaa.

unless we switch from application based engineering to reverse engineering we will continue to have these useless end user-like engineers who are best when given user guide manuals.
 
Labda kwa Tanzania Engneering ina walakini. Viongozi wote watatu wa cho ni Engneers ila wanaendesha chuo kama mangwini.
 


Hapa siyo kwamba umezidisha? Tuwekee ushahidi.
 
Sijui nani alituloga hii nchi, nothing seems to move,yani vile nilikuwa na matumaini na hichi chuo kumbe na wao wameanza mambo yaleyale!
 
duh nilikuwa natamani sana kusoma kwenye hiki chuo but kwa mtindo huu nakata tamaa kabisa,naungana moja kwa
moja na StayReal " Sijui nani alituloga hii nchi, nothing seems to move".Huku ninaposoma walituahidi hela tangu mwezi wa tisa but zimeingia juz wa 11 mwishoni tena kwa magroup.
 
Sijui nani alituloga hii nchi, nothing seems to move,yani vile nilikuwa na matumaini na hichi chuo kumbe na wao wameanza mambo yaleyale!

pole engineer! Vipi utatoa mlo wa siku? Ha ha ha
 
Kuna umuhimu wa kuendelea kutawaliwa.ili watufunze cz inaonekana hatujakomaa kiasi cha kujiweza.mf,hatuna engineers wa kujenga lami?kama wapo wanafanya nini? Au ndo kusubiri waajiriwe ofcn.waite injinia wa jiji",manispaa.n.k.wachina wanaishi maporini kwny camp wanapiga kazi.sisi tupande V8,na tukague.jamani!! Sisi tunaweza ninii.eti na wasomi wetu wengn wanadhani kukufelisha makusudi chuoni eti ndo elimu bora"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…