Nelson mandela university

RISCA

Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
23
Reaction score
5
Hawa jamaa walitangaza kazi,miezi miwili imepita sasa wapo kimya au ndio; Only short listed candidates will be contacted
 
Pole. Nijuavyo mimi walishaajiri siku nyingi. Kuna dada tunafanya naye kazi aliomba PR na ameshaajiriwa tangu January mwanzoni. Kazi kwetu kaacha kaenda huko maana mshahara ni mkubwa sana. Jaribu kufuatilia uone labda unaweza kubahatika.
 
Wapi wewe Ivuga hakuna cha vimemo wala nini?
 
Pole. Nijuavyo mimi walishaajiri siku nyingi. Kuna dada tunafanya naye kazi aliomba PR na ameshaajiriwa tangu January mwanzoni. Kazi kwetu kaacha kaenda huko maana mshahara ni mkubwa sana. Jaribu kufuatilia uone labda unaweza kubahatika.

Mariavictima are you serious? Mimi ninafahamu jamaa watatu waliomba nafasi hizo tangia December last year na hakuna hata mmojawao aliyeitwa angalau kwenye Interview na wote wana sifa mmojawapo ni Senior Lecturer yuko UDSM. Sasa kama hata yeye hakuitwa angalu kwenye interview tu, basi ninaweza kuamini ni mambo ya VIMEMO na hii itaharibu Jina zuri la NELSON MANDELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…