❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM!
Tunaweka msingi wa kuwatambua vijana walio mstari wa mbele katika kufanikisha maono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mustakabali wa Taifa letu. Hii inatufundisha kuwa kila kijana ana nafasi ya kuleta mabadiliko chanya katika Taifa letu.
Baada ya mchakato wa kushindanisha mawazo ya kibunifu kutengeneza nembo, vijana zaidi ya 250 waliwasilisha mapendekezo yao na sasa tunatambulisha nembo/logo rasmi ya UVCCM Kijani Awards na UVCCM Alumni Forum.
Karibu tushirikiane kuandika historia mpya kama vijana!
Jumuiya Yetu, Ndoto Yetu!
#UVCCMKIJANIAWARDS #UVCCMALUMNIFORUM #JumuiyaYetuNdotoYetu