mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kafeli huyu mkuu aangalie nembo za club zote duniani atakuta ni jna tu na football club (fc) au sport club (sc)Vilabu vikubwa duniani uliwahi kuona Club ipi ina huo utitiri wa upuuzi?
Ndio maboresho yenyewe acha mazoeaVilabu vikubwa duniani uliwahi kuona Club ipi ina huo utitiri wa upuuzi?
Kwahiyo unadhani timu ya Simba inaweza kupotea wakashindwa kujua inatokea wapi?Ndio maboresho yenyewe acha mazoea
Jf ina watu wenye upeo finyu zaid ya ufinyu wenyewe.Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Simba.Kwa kuwa klabu yetu inaendeshwa kibiashara na kisasa naushauri uongozi wa klabu kurekebisha Nembo ya klabu iwe ya Kimataifa.Mapungufu ya nembo hiyo ni pamoja na kutokuwa na jina ya Dar es salaam na Tanzania.