maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Nimepita mara kadhaa kwa mbali na kwa karibu ila hii nembo mpya ya madini ya Tanzanite iliyowekwa mbona sivyo nilivyotegemea kabisa.
Nilijua itatengenezwa hata kwa yale madini ya kioo flani ili jua likipiga hata inareflect au kushine kidogo ila badala yake iko so dull hadi nikajiuliza huenda imetengenezwa kwa mabati au material yale ya aluminium.
Kwa mfano wangeenda kariakoo wakanunua vihereni flani vinarangi ya Tanzanite na vinan'gaa halafu vinauzwa cheap sana mtu unaweza nunua hata gunia zima halafu ukaviunganisha vikawa vinashine vizuri.
Anyway mi sio mtaalamu wa haya mambo nimeongea mawazo yangu tu maana kiasi imenidissapoint.