Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tangu NEMC ianze kamatakamata ya wachafuzi wa mazingira taarifa tunazopata ni ukamataji wa wenye baa, NEMC kunguru weusi na madereva wa bodaboda nao ni wachafuzi wa mazingira, hawa bodaboda pikipiki zao wamezifunga vifaa vya muziki ambavyo hutoa sauti kali sana kuliko hixo za baa.
Kuna baadhi ya mikoa imewazuia kuvitumia vifaa hivyo laki naona Dar hamuhangaiki nao labda kwa sababu mifuko yao haijanona na hao kunguru tunsjua hawana mwenyewe wa kumtoza faini, NEMC hebu safisheni na hao na wale wa vigodoro vya Uswazi, watupaji hovyo wa taka usiku na watiririshaji wa majitaka.