Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Na haya makanisa sijui ministry za manabii kwanini wasiige RC ibada zao Huwa hazina kelele kabisa na husikii na Mimi naona hyo ndio ibada Sasa haya ya manabii ni kelele kama vichaaUna hoja, lakini ni bora angalau NEMC itambulike kama ipo.
Wenye bar wengi zinazosumbuwa watu kwa makelele hawaishi maeneo hayo, wanaishi maeneo tulivu kabisa.
Ukipita kwenye kanisa katoliki lolote ni vigumu kusikia kinachoendelea ndani wakati wa ibada mpaka uingie humo ndani, lakini sasa kuna makanisa ya manabii wa kisasa nayo hayana to fafauti na kelele za bar.
Unaweza kuvumilia kero tu ya waislamu kwa ile adhana ambayo hizi hata dakika tano, tunaweza kuvumiliana kwa hayo lakini siyo kusumbuwa wengine washindwe kulala.
Mimi ni mdau mkubwa sana wa Burudani na ninapenda vibe lakini wenye mabar sasa ni lazima waweke sound proof au kipimo cha muziki kisichozidi DB 40 kwa usiku.
Turudi kwenye mstari.
Nakutumia inbox namba ya Deputy DG wa NEMC utafurahi show yake, ila make sure siyo taarifa ya majungu au chuki binafsi.Namba za hao jamaa wa NEMC nawapataje? Kuna mpuuzi mmoja anafuga kuku wa mayai ana eneo kubwa sana,sasa usiku anatapisha hayo maji ya vinyesi barabarani, eneo lote linanuka kama chemba za vyoo! wanaachi tumelamika wewe tumeshindwa jamaa anahonga mbaya.
Hiyo kitu ya ukweli mkuu...Nakutumia inbox namba ya Deputy DG wa NEMC utafurahi show yake, ila make sure siyo taarifa ya majungu au chuki binafsi.
Wewe hiyo ni fursa, ningekuwa mimi naishi hapo bei ya gesi nisingeijua kwani ningepata gesi ya bure.Namba za hao jamaa wa NEMC nawapataje? Kuna mpuuzi mmoja anafuga kuku wa mayai ana eneo kubwa sana,sasa usiku anatapisha hayo maji ya vinyesi barabarani, eneo lote linanuka kama chemba za vyoo! wanaachi tumelamika wewe tumeshindwa jamaa anahonga mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pana Subaru zina kelele utadhani Fiat zile za Wasomali sijui wanapata raha gani kubadili mfumo wa Exhaust na kuleta ile sauti ya Zege...
Umenifumbua macho, kumbe lengo ni mapato yatokanayo na faini, basi haya."Yani tufanye kazi ya kukamata wakojoaji hovyo na watupa taka usiku?No way ,sisi tutakamata high profile tu ndio wanaoweza lipa faini .Wenu NEMC
"Yani tufanye kazi ya kukamata wakojoaji hovyo na watupa taka usiku?No way ,sisi tutakamata high profile tu ndio wanaoweza lipa faini .Wenu NEMC