NEMC hakikisheni manaowapa vibali kujenga karibu na fukwe wanafuata taratibu zilizowekwa ili kutunza fukwe zetu

NEMC hakikisheni manaowapa vibali kujenga karibu na fukwe wanafuata taratibu zilizowekwa ili kutunza fukwe zetu

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Kwa muda mrefu ni mdau wa utunzaj wa mazingira kwa maendeleo endelevu. Juhudi za awamu ya sita nazo zimepajipambanua kuweka uhifadhi ili jamiii inufaike na suala zima za uhifadhi kwa vizaz vya sasa na vijavyo.
Leo nilikua na tambiko fulan asubh baharin.

Nimekuta vitu si vizur kwa fukwe zetu.em wahusika tuwe na utamaduni wa kuweka miongozo na ufuatiliaj wa maeneo ya fukwe. Fukwe zetu ni nzuri, beach sands is very wonderful tusiharibu na hawa wapenda majumba na kuharib beach zetu.tatizo hili la kuweka maji kuta kuta nimelikuta hizi beach za kigamboni kuanzia bamba na wenziwe

Kuliwah kuwa na idea ya kuanzisha beach Agency nafikiri hili ni suala muhimu. Tusiache wajenge jenge tu katika fukwe kunaharibu sana ecolojia.sheria za mita 60 zifuatwe. Picha ya kwanza.Mdau kajenga matofal kaziba mchanga.anaharibu beach.bamba hapo.

Kiambatisho no 2. Uzuri wa beach za Kigamboni.

USHAURI. NEMC NA MANISPAA KIGAMBON NYINY NDIO WAHUSIKA WA KWANZA FUATILIEN MNAOWAPA VIBAL WAKIJENGA MAJUMBA YAO BASI ENEO LA FUKWE WASI INTRODUCES TENA MASHKOLO MAGENI WANAHARIBU.WASILETE TENA KITU NJE YA PERMIT ZAO

20220811_090302.jpg
20220811_091422.jpg

 
Back
Top Bottom