hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
Ila kelele zinaumiza kwa kweli sehemu nyingine unakuta kuna makanisa yanasali usiku maspika makubwa kwingine disko vumbi duuu hii nchi kuishi tabu maisha magumu alafu usingizi unaupata kwa shida yani hii nchi km pango la wanyanganyi hakuna utaratibu ni vurugu tu kila konaPole sana mkuu,, kifupi nchi imekua na maamuzi ya kukurupuka tu kwa muda baadae hali inarejea kuwa ile ile mfano angalia masoko ya Buhongwa na Igoma watu wamerudi kufanyia biashara barabarani badala ya masoko rasmi yaliyopo na hakuna anayejali,,
Mkuu poleni sana, nahis kama umechanganya NI LOUNGE au ni LODGE.
Hata wanafunzi hawawezi kujisomea, ni taabu juu ya taabuIla kelele zinaumiza kwa kweli sehemu nyingine unakuta kuna makanisa yanasali usiku maspika makubwa kwingine disko vumbi duuu hii nchi kuishi tabu maisha magumu alafu usingizi unaupata kwa shida yani hii nchi km pango la wanyanganyi hakuna utaratibu ni vurugu tu kila kona
Kote wamerudi, dampo, lumumba, makoroboi yaani kila mahali. Nadhani tunajipanga na uchaguzi 2025Pole sana mkuu,, kifupi nchi imekua na maamuzi ya kukurupuka tu kwa muda baadae hali inarejea kuwa ile ile mfano angalia masoko ya Buhongwa na Igoma watu wamerudi kufanyia biashara barabarani badala ya masoko rasmi yaliyopo na hakuna anayejali,,
Yeah, siku hizi wanajiita kwatunza beachMkuu poleni sana, nahis kama umechanganya NI LOUNGE au ni LODGE.
Wananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala.
Huyu Salum mmiliki wa Kwa Tunza anatoa wapi jeuri ya kudharau maagizo ya NEMC? Yeye ni nani? Yuko juu ya sheria? Naomba NEMC mtembelee hapo mahali maana hata lodge yake kaijenga ziwani kabisa, hakuna usalama kwa wateja. Ila anzeni na hilo la sauti kwanza.
Ikishindikana NEMC kulifanyia hili kazi tutaenda mamlaka za juu kabisa, haiwezekani tuteseke kwenye nyumba zetu tulizozijenga kwa taabu sana.
Nikadhan NEMC wakizngua mtachukua hatua wenyewe kumbe mnataka muende mamlaka za juu tena kufanyajeWananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala.
Huyu Salum mmiliki wa Kwa Tunza anatoa wapi jeuri ya kudharau maagizo ya NEMC? Yeye ni nani? Yuko juu ya sheria? Naomba NEMC mtembelee hapo mahali maana hata lodge yake kaijenga ziwani kabisa, hakuna usalama kwa wateja. Ila anzeni na hilo la sauti kwanza.
Ikishindikana NEMC kulifanyia hili kazi tutaenda mamlaka za juu kabisa, haiwezekani tuteseke kwenye nyumba zetu tulizozijenga kwa taabu sana.
Sema Tunza imebadilika sana, nilikuwa naenda kule enzi zile miaka ya 2008 - 2011 pale na mamba beach, nimeenda mwezi jana tena aisee pazuri sana, amepaboresha sana jamaa
Ndio mkuuHata jamaa mtoa maada anasema ni pazuri sana na hua anaenda kuenjoy tatizo lao ni kelele nyingi tu
🤨🤨Wananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala.
Huyu Salum mmiliki wa Kwa Tunza anatoa wapi jeuri ya kudharau maagizo ya NEMC? Yeye ni nani? Yuko juu ya sheria? Naomba NEMC mtembelee hapo mahali maana hata lodge yake kaijenga ziwani kabisa, hakuna usalama kwa wateja. Ila anzeni na hilo la sauti kwanza.
Ikishindikana NEMC kulifanyia hili kazi tutaenda mamlaka za juu kabisa, haiwezekani tuteseke kwenye nyumba zetu tulizozijenga kwa taabu sana.
Nilidhani nikiishi huku ufukweni nitapata utulivu, kumbe majanga. Kuna ingine pia inaitwa MAMBOLEO beach , hawa ndio sidhani hata kama wana leseni ya kuendesha ukumbi. Na sherehe zao ni za nje.Umeambiwa kama hautaki kelele nenda kaishi Dodoma..Miji ya Dar es salaam na Mwanza ni Miji ya biashara.
Kwa kukumbusha tu agizo na mkuu wa mkoa wa Mwanza NEMC hairusiwi kufunga biashara ya bar Kwa sababu ya kelele.
Zaidi hapo kuanzia tarehe 01.07.2023 hakuna taasisi yoyote ya serikali inayoruhisiwa kufunga biashara ya mtu Kwa sababu yoyote Ile.
Ushauri inabidi huwe mvumilivu tu hakuna namna au hamia nje ya mji huku hakuna kelele kabisa..
Wewe unatafuta pesa mchana mwenzako anatafuta pesa usiku..Maisha ndivyo yalivyo..