NEMC iangazieni kwa Tunza lodge Mwanza haraka (noise pollution)

Chukueni hatua.

Yaani wananchi lukuki mtaa mzima mnashindwa kumchukulia hatua mmiliki mnasubiri NEMC ambayo haina meno.

Watanzania tutakapojifunza kuchukua hatua ndio siku pia serikali itaanza kusimamia sheria na kusikiliza wananchi.
 
unamchukuliaje hatua wakati haujamsaidia mtu kufanya uwekezaji? au unadhani ni grocery hiyo?
uwekezaji kama ule serikali inaulinda kuliko unavyofikiri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…