LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,109
Nilishtushwa na maelezo kutoka kwa vijana waokota makopo kuwa aina hizo za chupa hazina soko na hazitumiki tena viwandani kwa maana ya kuwa recycled.
Pia soma ~ Tumeamua Jiji la (Dar) lipambwe na chupa za Energy drink? au wazalishaji wa bidhaa hizo wapo juu ya Sheria
Tunashuhudia uchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na hayo machupa yaliyotumika aina ya chupa imewekwa hapa
Pia soma ~ Tumeamua Jiji la (Dar) lipambwe na chupa za Energy drink? au wazalishaji wa bidhaa hizo wapo juu ya Sheria