Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mods rekebisheni kichwa kisomeke "BODABODA".NEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio. Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
Na zile pa! Pa! Yaani stop break zao hawa mbwa! Hapa Arusha kuna bibi alizimia barabarani aisee! Wanakula cha Arusha Sana!NEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio. Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
Shida huko hakujanona hivyo NEMC hawapeleki pua zao.Na zile pa! Pa! Yaani stop break zao hawa mbwa! Hapa Arusha kuna bibi alizimia barabarani aisee! Wanakula cha Arusha Sana!
Yenye impacts kubwa ni nini?NEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio. Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
Sauti ya juu kali ya bodaboda inaweza kupasua sikio lako ndani ya nusu sekunde.Yenye impacts kubwa ni nini?
Boda boda anayepita zake na sauti hizo au bar au ukumbi au kanisa liko pale pale likiwapigia kelele watu wale kwa DB zaidi ya 60.tena kwa msisitizo ulele kwa zaidi ya masaa 6!
Muheshimiwa wazir naomba hili nalo mkaliangalieNEMC wamekazana kukamata wenye baa kwa sababu huko kumenona, bodaboda nyingi zina muziki wenye sauti kali sana ya juu ambayo huumiza masikio. Pamoja na kutokunona lakini itakuwa jambo jema kukomesha kelele hizo.
Bila ya kukwaza kwa makusudi.....naona niungane nawe kwa mtazamo wako.mmm! Si kweli bhana.
Tusemapo bodaboda ni pikipiki zote, kwa watu wanaoishi au wanaotmia njia zinazotumiwa sana na bodaboda hizo wanazijua kero isipokuwa kwa wale wa maghorofani na Ostabei ni geni.Bila ya kukwaza kwa makusudi.....naona niungane nawe kwa mtazamo wako.
Inaweza kuwa kweli kama Bodaboda hizo hukaa eneo moja kama baa zilivyo na kupiga makelele za muziki .
Ukweli...
Bodaboda huwa zinapita, na kufanya makelele hayo kuwa ni ya muda mfupi tu ukilinganisha na Baa zilizo sehemu ya makazi ya watu ambazo ni wakati wote baa huwa zimefunguliwa.
Ukweli....
Ikiwa makazi yapo karibu na barabara au Bodaboda zinafikia maeneo ya makazi na makelele hayo.
Hatahivyo....
Suala la watu kujenga makazi karibu na barabara yakikoma- na ikiwa kuwa hilo haliwezekani kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, basi wajenge kuta za kudeflect mirindimo ya magari, pikipiki (bodaboda), n.k Vilevile ikiwa Pikipiki zenye miziki zikifika maeneo ya makazi basi wahakikishe wanazima au kupunguza sauti za miziki yao.
Kama ni kweli ni sauti ya muziki wa Bodaboda na wakati huo huo Bodaboda imetumika hapa kama ikimaanisha pikipiki, basi Pikipiki zote zenye sauti ya muziki munene zikomeshwe...ila kama inamaanisha Bodaboda kana Wafanyabiashara wanaotumia pikipiki, basi kuna uwalakini kuhusu kutumia suala la makelele ya Baa kuuzima na kudumuza Biashara-i.e ya Bodaboda.
Kwa namna moja au nyingine utaona hapa ndipo muingiliano wa hoja za kuwa na 'uhuru na haki ya kuongea' dhidi ya 'haki ya kuwa na faraga' na yale ya 'Umasikini wa kufukuza upepo' Kwa mtazamo wangu
Suala la Muziki au makelele ya Baa yasitumike sambamba na masuala ya kutaka kuzima biashara za wanaojiajiri ili kuwapa watu wenye mitaji mikubwa kukwapua soko la usafirishaji watu mjini.
yaani A monopoly.
Kwa namna moja au nyingine watumie masuluhisho bila ya kuwa na athari na madhara hasi kwa Wafanyabiashara walio na mitaji midogo. Tusipeane Umasikini kwa madai ya Kufukuza Umasikini
🙄