NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40

Nemc your absolutely right...

But sina uhakika kama mwananchi anayeenda kuchukuliwa hatua anayo elimu juu ya hicho kiwango Cha kelele na namna gani ya kuzipunguza au kuzicontrol hizo kelele.....

Kwa maana hiyo Basi, nemc kabla ya kuanza hiyo kamata kamata wangeanza kwañza kutoa elimu kwa umma .......
 
Labda waliongeza baada ya malalamiko
 
wawe wa kweli sio mambo ya show off kwa bosi wao ili waonekane tu wanafanya kazi
 
Nipo Tungi Mwisho Morogoro, muda huu ni midundo kwenda mbele
 
Sie wa nyumbani wapenzi wa decibel za Sony tunahusika humu au tuendeleze mirindimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…