K Kichakoro JF-Expert Member Joined Sep 10, 2008 Posts 3,335 Reaction score 6,186 Jul 22, 2021 #1 Mwangalieni mkandarasi aliyepewa tender ya kukusanya taka mpiji Magoe anachafua mazingira. Anakusanya taka majumbani na kuyatupa kwenye makazi ya watu. Angalia picha fuatilia eneo CCM karibu na Mbozi.
Mwangalieni mkandarasi aliyepewa tender ya kukusanya taka mpiji Magoe anachafua mazingira. Anakusanya taka majumbani na kuyatupa kwenye makazi ya watu. Angalia picha fuatilia eneo CCM karibu na Mbozi.