Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Misiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na kuona kama kweli baraza na watu wake wenyewe wanawaita wataalam wa mazingira walifungia Bar na kuelekeza njia nzuri za kudhibiti sauti.
Maelekezo waliyotoa na Bar wamechukua hatua kufanya marekebisho, natolea mfano Kitambaa chepe Tabata - Barakuda na sehemu nyingi tumeona watu wanaziba Bar zilizokuwa za wazi wana brand Marine Board kudhibiti sauti. Hivi hawa watu wamefikiria vizuri madhara yanayotokea baada ya kufunika Bar za wazi au ndio bado wana wenge la NEMC?
Hivi NEMC wamepita tena kuona marekebisho hayo, kwamba bar za Dar es salaam sasa ziwe kama bar za njombe au mbeya? kweli? hawa watu ndio wanazuia madhara ya sauti, Hapa Dar es Salaam kuna joto, kunachangamoto nyingi sana za magonjwa ya kuambukiza hewa ikiwa haitoshi, joto, Corona bado iko nje, pindu pindu Moto, humo ndani kuna mimoshi ya shisha, bado Ngwengwe (TB) hawa wataalamu wa sauti kama wali solve for X tu wakati sie tunaona msala. Unawacontain watu wanamwagilia moyo je kikichafuka watu wanatokea wapi?
Au ndio wamejembisha watu na wamekaa pale wanaendela na business as ussual zao. wengine wanatoka wakapunge hewa wazee wa masauti hawataki kelele na wala hawataki kumsikia yeyeote.