marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Hahahahah...kwenda uwanjani sio utamaduni wao haoKwa kweli kilichotokea kilivunja moyo sana hapa natafakari ni kwa nini yanga haiwi kama simba mbona wanasimba wanajaa full bila kujali matokeo mfano kila mwanasimba hakuwa na imani kuifunga al ahly au wale wakongo ila watu walifunika full na mara timu ikashinda ila wanayanga bariiiiiiiiiiidi sana na hapo ndio ligi inaanza ikifika mbali si ndio ataenda mmoja kabisa.....BASI NJOONI NEXT TIME TUTATOA CHAKULA NA VINYWAJI BUREEWW!!!!!
eti Yanga Bariiiiiiiiidi, kiukweli wabadilike watani wetu.Kwa kweli kilichotokea kilivunja moyo sana hapa natafakari ni kwa nini yanga haiwi kama simba mbona wanasimba wanajaa full bila kujali matokeo mfano kila mwanasimba hakuwa na imani kuifunga al ahly au wale wakongo ila watu walifunika full na mara timu ikashinda ila wanayanga bariiiiiiiiiiidi sana na hapo ndio ligi inaanza ikifika mbali si ndio ataenda mmoja kabisa.....BASI NJOONI NEXT TIME TUTATOA CHAKULA NA VINYWAJI BUREEWW!!!!!
Dismas makosa yake ni yapi mpaka atokeShabiki ni chachu kubwa ya ushindi , jana wachezaji hawakupewa support stahiki kwakweli, tumewaangusha na huo ndio ukweli. Ule uwanja ulitakiwa utapike kama siku ya mwananchi ila nadhani kuna haja ya kumtoa Dismas
Dismas sio tatizo,labda anaweza kuwa ni sehem tu....tatizo ni washabik wenyeweShabiki ni chachu kubwa ya ushindi , jana wachezaji hawakupewa support stahiki kwakweli, tumewaangusha na huo ndio ukweli. Ule uwanja ulitakiwa utapike kama siku ya mwananchi ila nadhani kuna haja ya kumtoa Dismas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli kilichotokea kilivunja moyo sana hapa natafakari ni kwa nini yanga haiwi kama simba mbona wanasimba wanajaa full bila kujali matokeo mfano kila mwanasimba hakuwa na imani kuifunga al ahly au wale wakongo ila watu walifunika full na mara timu ikashinda ila wanayanga bariiiiiiiiiiidi sana na hapo ndio ligi inaanza ikifika mbali si ndio ataenda mmoja kabisa.....BASI NJOONI NEXT TIME TUTATOA CHAKULA NA VINYWAJI BUREEWW!!!!!
Hivi aliewaloga ni nani mpaka mnaviogopa vile viti vya uwanja wa taifa?
.
Basi nendeni hata mkashangilie mmesimama.
.
.
Mfyuuuuu,, kwani mkoje? Kocha Zahera aliacha maelekezo na amerudi jana ndo kwanza amecheza mechi ya kwanza ya mashindano mnaanza kutaja jina lake mkitaka mmtwishe msala! Nendeni uwanjani....
.
.
Timu ni mpya mmesajili kwakuuunga unga mwacheni afanye kazi yake mwalimu,,nyie Nendeni uwanjani tena muujaze uwanja muone kitakachotokea.
.
. Good team
. Good Leader
.Good Coach
Bt mashabiki siiiiiifuuuuuuriiiiii[emoji196][emoji196][emoji196].
.
#wananchinendeniuwanjani[emoji196]