Neno 1 kwa mshana jr

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Binafsi nakupongeza sana kwa mada zako motomoto. Humu ndani njooni mtoe pongezi na mengineo hapa wale wanao ziona
Ni mpya
Wanaosisimka
Wanaofundishwa
Wanaotishwa
Na wasiozipenda weka neno kwa mshana jr.
Ila Nina maswali
1. Ulianza kujifunza/ kuyajua lini mambo haya
2. Una vitabu
3. Hivi vitu umeviandika mahali kwa ukumbusho
4.unadhani elimu hii inawezaje kufundishwa mashuleni?
Ni vema kama ukipenda ukatupa historia yako
 
#mayenga bwana acha wivu wa ki.....
 
Mi napenda sana mada zake. Nahisi anapenda kujifunza mambo mbalimbali na pia ana uwezo mzuri wa kupambanua mambo.
 
Wapi mshana Jr?????
 
Huyu jamaa huwa najiuliza cjui vitu hivi anavitoa wapi dah!
Ikiwezekana aandaa vitabu ama movie kama kumbukumbu...
 
Nyie hamjui wapare walicyo watu wa kamba? Mtapigwa kama na kuamini kila kitu kumbe zote fix tu

Duh huyu jamaa sio vunga ni mtu wa sayansi nyeusi (isiyoonekana) kama hauamini fuatilia mada zake kwa utulivu.
 
Yah yah yah mshana Jr
A.k.a mparee
 
Hahahahahahahahahhahahaaa hahahahhahahaahahaa ngoja anakuja yupo njiani. So interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…