Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

Asili ya neno AMIRAT ni huko Mbeya wilaya ya Rungwe (,zamani Tukuyu). Amirat limetoholewa toka neno la kinyakyusa "Amarata" japo maana yake mm siifahamu.
Weeeee !!! ni kweli amarata ni vitu vya juu , yaani mabati , na ni kweli kiongozi pia ni mtu wa juu
 
Ulitaka na wewe uitwe Binti ?
 
Yamebainika mengi sana leo , kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5 .

Tusirudie yaliyosemwa , bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu .
Katika Falme za Kiarabu kuna cheo cha 'Amir' wakimaanisha Kamanda, kiongozi wa kiume (Prince), sasa wengine wakaona akiwa wa kike anaweza kuitwa 'Amirat'. Lakini huyu wa kwetu siyo 'Amir' bali ni Amiri Jeshi Mkuu' (Commander -in-Chief), haijalishi awe 'me' au 'ke'..!
 
Ulitaka na wewe uitwe Binti ?
Nimekukosea nini mpaka unanitusi bro? Behind a keyboard insulting others makes you feel like a big man au sio?

Huna hoja mpaka unitusi, angali atulingani umri naweza hata kuwa baba yako au hata baba yako mdogo.

Huu mwezi wa toba, kwa nini unakuwa unapenda kuishi katika dhambi? Na wengine unataka wawe katika njia hiyo hiyo.

Very sad. This is a free forum kila mtu anaweza kuchangia mawazo yake. Hatuwezi fikiria sawa ila sioni sababu ya kuwadhiaki wengine.

Disappointed.
 
Yamebainika mengi sana leo , kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5 .

Tusirudie yaliyosemwa , bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu .
DPW.
 
Ungekuwa na akili ungejua kuwa nilicho kusudia ni kukuonesha utofauti kati ya jinsia ya kiume na kike kwa majina ila kwa sababu huna huwezi kuelewa.
 
Ungekuwa na akili ungejua kuwa nilicho kusudia ni kukuonesha utofauti kati ya jinsia ya kiume na kike kwa majina ila kwa sababu huna huwezi kuelewa.
Jeshi la Tanzania halina jinsia ya kiume wala ya kike. Wote ni askari au afisa na haya kashayasema sana mstaafu mabeyo. Hakuna umoja wa kinababa au kinamama jeshini, unafeli wapi?

Mama Samia yaya ni Amiri mkuu wa jeshi sio Amirati wala sio unavyojua wewe.

Mstaafu Mabeyo alishatafsiri hili mara kibao hata katika interview yake juzi alilizungunzia hili.

View: https://youtu.be/9Hyg_T0yb-8?si=Ccc2IwBpIRJ6-IAJ
Wewe mwenye akili nyingi kwa nini hujui hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…