Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Kauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme n,k.
Pamoja na haya matatizo makubwa lakini watu walikuwa wakisifia sifia anaupiga mwingi huku vitu vikipanda bei, pesa kuadimika mitaaani, tunamuomba Dkt. Bashiru atoe tena sauti ya kimamlaka juu ya haya matatizo.