Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Afu Wala halijapotea lipo Sana tuuKauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, Vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme nk
Pamoja na haya matatizo makubwa lkn watu walikuwa wakisifia sifia anaupiga mwingi huku vitu vikipanda bei pesa kuadimika mitaaani tunamuomba Dkt. Bashiru atoe tena sauti ya kimamlaka juu ya haya matatizo
Kauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, Vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme nk
Pamoja na haya matatizo makubwa lkn watu walikuwa wakisifia sifia anaupiga mwingi huku vitu vikipanda bei pesa kuadimika mitaaani tunamuomba Dkt. Bashiru atoe tena sauti ya kimamlaka juu ya haya matatizo
Afu Wala halijapotea lipo Sana tuu
Kwa Nini? Mbona Mimi nalitamka Sana tuu na hulitumia kumpongeza aliyefanya vizuri.Kwa Sasa itakuwa aibu kulitamka Hilo neno.
Nchi inadidimia watu wanasifu na kuadubuKauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme n,k.
Pamoja na haya matatizo makubwa lakini watu walikuwa wakisifia sifia anaupiga mwingi huku vitu vikipanda bei, pesa kuadimika mitaaani, tunamuomba Dkt. Bashiru atoe tena sauti ya kimamlaka juu ya haya matatizo.
Bashiru ni mtu wa kanuni sana, huwezi kumsukuma kiuchonganishi ukafanikiwa!! Wewe unataka kuchonganisha wakati Bashiru anataka kujenga palipobomoka! Hana chuki na mama wakati wewe una chuki na mama!!Kauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme n,k.