Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Mar 7, 2013 #1 Wadau nimekuwa nikifuatilia lugha ya kiswahili kwa watu wa songea wanapenda sana neno "bwana wewe".Linatumika kiufasaha?
Wadau nimekuwa nikifuatilia lugha ya kiswahili kwa watu wa songea wanapenda sana neno "bwana wewe".Linatumika kiufasaha?
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 Mar 7, 2013 #2 Kwa hao watumiaji itakua ni sahihi.