Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Ukileta taarifa kidogo tu utasikia hii chai, mara majani ya mpera, mara watakwambia hii ni gahawa, mara majani ya chai mengi, mara tangawizi imezidi!
Hivi hili neno asili yake ni ipi na ina maana gani?
Hivi hili neno asili yake ni ipi na ina maana gani?