Neno "CHAI" lina maana gani?

Ukileta taarifa kidogo tu utasikia hii chai, mara majani ya mpera, mara watakwambia hii ni gahawa, mara majani ya chai mengi, mara tangawizi imezidi!
Hivi hili neno asili yake ni ipi na ina maana gani?
Kama ghahawa umeifananisha na chai basi hata hoja yako ni CHAI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…