COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu.
Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa CCM wanao muunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Sasa ni zamu ya waasisi wa neno CHAWA kunywa kikombe cha UCHAWA kwa Mbowe.
Vumilieni yatapita.
Kila chama kuna chawa wake😁