Neno CHAWA linavyowatafuna CHADEMA

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu.
Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa CCM wanao muunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Sasa ni zamu ya waasisi wa neno CHAWA kunywa kikombe cha UCHAWA kwa Mbowe.
Vumilieni yatapita.
Kila chama kuna chawa wake😁
 
Kwan ukiipumzisha CDM huu msimu wa skukuu mtapungukiwa nini? Siasa za umbea tu
 
Wajinga wote lazima waitwe chawa.
 
CHAWA ni wapo CCM pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…