Neno 'Dam' kwa kiswahili tunaitaje?

Neno 'Dam' kwa kiswahili tunaitaje?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Nyuma yake unatengeneza lake/pond, Ziwa/bwawa.

Ukuta huo unaitwaje kwa kiswahili?
 
Back
Top Bottom