Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 May 9, 2022 #1 Dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Nyuma yake unatengeneza lake/pond, Ziwa/bwawa. Ukuta huo unaitwaje kwa kiswahili?
Dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Nyuma yake unatengeneza lake/pond, Ziwa/bwawa. Ukuta huo unaitwaje kwa kiswahili?
Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 May 9, 2022 #2 Ukuta wa kuzuia maji!