Neno 'dear'

hata mtume mmoja atwae yohana alitumia neno hili lalini ni kwania yandani kuonyesha upendo usiona sababu
 
ukianza na neno MPENDWA litakuwa na maana nzuri sana.
 
Mimi nafikiri kwamba kwa Kiswahili njia sahihi inayotumiwa na waandishi barua na inayolingana na ule msemo wa "Dear ..... " wa Kiingereza ndio "Mpendwa ...... ". Nimepata barua na kutuma barua zenye utangulizi huu bila ya kukemewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…