Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Hii inatokana na lafudhi ya watu wakutoka mikoa fulani huweka h endapo a ni ya kwanza na wengine huifuta h k.m hamna huwa amna.
sahihi ni ahirisha. Kinachokera unakuta huandikwa hivyo kwenye magazeti kama vile hakuna proof reader, labda tu awe na tatizo hilo. Tuenzi lugha yetu kwa kuandika kwa usanifu
Tatizo lako unaletaga utani hadi kwenye mambo ya msingi [emoji23][emoji23][emoji23]Hairisha
Acha zako mkuuHairisha
Aliniambia kuwa atatokea mwendawazimu kuniuliza jibu ulilonipa na nimsamehekwani ulivyo-muuliza mwlm wako wa kiswahili alisemaje ?