Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah,,,
Neno ''FULSA'' linapooneka kwenye matangazo ya Televisheni ya Taifa TBC ni tusi kubwa Watanzania wazalendo....
Haiwezekani tukajivunia lugha yetu ya taifa halafu chombo tunachokitumia kutangaza lugha hiyo ndicho cha kwanza kuharibu...
Nimeumia sana kwa aibu hii..... Sema tu sina mamlaka.....tungekuwa tunaongea mengine,,,,😡