NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Nini maana ya mnono bongo?Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
simba sports clubSimba SC
haya maneno yameletwa na vijana wa kitanzania wanaotumia mitandao kijamii hususani instagram.Kuna neno linaitwa "Kudamshi" sijui mpaka sasa lina maana gani, na naishi Dar hii hii.
Hapo kwenye matamba umenikumbusha mbali japo sijaahi uona ila kusikia wakitamka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chitola - chuma ulete
Matamba- ugali wa muhogo
Songola - bania chenji chenji baada ya kutumwa,au ombea kitu pate kwa bei ya chini alafu ile iliyobaki unaiweka takoni hiyo ndo tunaita songola.
Cheche- mwanaume anaekula wanaume au wanawake kwa njia ya miujiza,usiku au mchana.
Hizi ni terminologues za LINDI HUKO.
Mnene au Bonge.Nini maana ya mnono bongo?
Mnene au Bonge.
Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
Kutafuta pesa kwa kutembea na wanaume wengi. Inawahusu zaidi wakina mama.Aiseeh mi mbongo lakini maana ya neno "kudanga" sijui maana yake
Anaye jua anifahamishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa Luhya!Kwa lugha yangu ya mama tunayaita maganda. Karibu lafanana na makande.
Siyo watanzania wote wanaojuwa kiswahili fasaha,kuna wangine wakiongea hicho kiswahili unaweza sema ni mgeni flani hivi,kiswahili fasaha nenda pwani.mimi hushangaa vile waBongo hutamka L karibu kama R
Ila shuleni alifundishwa tofauti.Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
Chitola - chuma ulete
Matamba- ugali wa muhogo
Songola - bania chenji chenji baada ya kutumwa,au ombea kitu pate kwa bei ya chini alafu ile iliyobaki unaiweka takoni hiyo ndo tunaita songola.
Cheche- mwanaume anaekula wanaume au wanawake kwa njia ya miujiza,usiku au mchana.
Hizi ni terminologues za LINDI HUKO.
Nini maana ya huu msemo?
"WANAUME WA DAR"
Duh!Wanaume wa Dar, Pemba, Zanzibar, Tanga = Ni wanaume mashoga, hovyo, wasiojitambua
Kusanda ni kukubali kushindwa kitu. Kwa mfano. We ukiwa unajaribu kutafuta kitu kwa bidii zote ila ukawa hukipati, pale unapokata tamaa na kuamua kuacha kukitafuta. Inakuwa "umesanda".naombeni maana ya neno ''kusanda''
Sio kweliWanaume wa Dar, Pemba, Zanzibar, Tanga = Ni wanaume mashoga, hovyo, wasiojitambua