Neno gani la kiswahili umejifunza karibuni na hukuwahi kujua kama lipo?

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Mwaka jana nilikutana na neno Diaba, lile ndoo kubwa la kuwekea maji, sikuwahi kujua linaitwa hivyo hata hivyo sikuwahi kulitumia mpaka hiyo siku mimeenda kununua kwa ajili ya kuwekea taka
 
"Dhaifu"

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Vitumeme
Nywira
Mambo mtambuka
Kizaizai
Lununu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…