Neno gani sahihi katika kuelezea hisia juu ya harufu fulani?

Neno gani sahihi katika kuelezea hisia juu ya harufu fulani?

M.KIZEGA

Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Wengi tumezoea kusema "nasikia harufu fulani" wakati inafahamika kwamba hatutumii masikio kutambua harufu bali pua,je ni neno gani sahihi la kuelezea hisia hii badala ya neno "nasikia"??
 
Ndivyo ilivyozoeleka, fikiria maneno kama 'unajisikiaje' na mengineyo. Kama watumiaji wa lugha kwa wingi wao wamelowea katika msamiati mmoja tunakubaliana nao tu.

Fikiria neno kama 'guinea-pig' la kiingereza. Huyo sio nguruwe na hana asili ya guinea, lakini ndo imekubalika ivo....
 
Back
Top Bottom