Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Leo unanikataa sababu sina kitu,lakin nakuhakikishia ipo siku historia itakuhukumu na kunikumbuka kwa yte... Baada ya miaka saba nauwezo wa kununua gar nalopenda,nasafiri napotaka na nakula nachopenda,yy kabaki kule kule kwa wahind mpka sasa bahat nzur mama yake ana mlaumu kila mara kwa nn aliniacha,napomuumiza zaid mke wngu anampenda mwanae sana bas inamkondesha mpka leo
 
Atakuwa anatamani dunia immeze au akuroge?
 
Mi nlimwambia ipo siku utajua nilikupenda na kweli sahizi ananiomba msamaha ila ndo nishapata girl mwingine wewe ulimwambiaje mpenzi wako mlivyoachana?
Aliniambia ipo siku utakuja kujua kwamba mimi ndio nilikupenda kwa dhati na wewe unanipenda sana sema basi tuu mawenge yako mama.....aliongea huku chozi mtoto wa kiume linamtoka [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…