Mkubwa kwelikweli.
Umeongea wee lakin sentes ya mwisho umezngua.Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili
Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa
Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa
Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo
Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
Mkuu hebu jiulize kwanza, ni nani anayemiliki lugha fulani mf. Kiswahili.Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili
Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa
Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa
Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo
Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
Wew chizi kwahio hilo ndio neno lenye umaarufu au ulitaka kuleta ligi tuu. Angalia kichwa na content ziko tofautiKuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili
Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa
Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa
Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo
Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
wataalam wa lugha watuambie mkuu....Hapo nami ndo naposhangaa