Neno gubu lina maana gani?

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415
Hili lina maana gani as far as wanandoa au wapenzi wapo concerned?ni kawaida kusikia yule jamaa ana gubu..linasababishwa na nini na inawezekana kujifahamu gubu lako mapema ukalishugulikia?

Tufamishane
 
lina maana gani as far as wanandoa au wapenzi wapo concerned?ni kawaida kusikia yule jamaa ana gubu..linasababishwa na nini...na inawezekana kujifahamu gubu lako mapema ukalishulikia?tufamishane

gubu ndio nini......maana yake!!!!!
 
Kila unachofanyiwa huridhiki hata kiwe kizur vipi
Wewe ni kunung'unika tu
Vp kuna mtu amekuambia una gubu?
 
Hili lina maana gani as far as wanandoa au wapenzi wapo concerned?ni kawaida kusikia yule jamaa ana gubu..linasababishwa na nini na inawezekana kujifahamu gubu lako mapema ukalishugulikia?

Tufamishane

lakini hii post kwake ni kule jukwaa la lugha
 
je linaweza kuwa sawa na neno VUVUZELA??
 
muongeaji yasipaswa na mpenda kuwapa wenzie lawama (mnungunikaji) anayependa kuwasema wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…