eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
According to the Oxford English Dictionary, it was first used in 1858 after English cricketer H.H. Stephenson took three wickets in three consecutive deliveries during a game between an all-England team and Hallam.Neno "HAT TRICK" nani anaweza kujaribu kuelezea limetokana na nini? Zawadi ipo kwa atakae jibu kwa usahihi.
Nice try bro but not quiet.According to the Oxford English Dictionary, it was first used in 1858 after English cricketer H.H. Stephenson took three wickets in three consecutive deliveries during a game between an all-England team and Hallam.
A collection was held afterwards, with money being placed into a hat before being presented to Stephenson.
There are also connotations associated with the practice of magicians conjuring unexpected items from a hat.
Nimegoogle
Tuelezee tu hapa!Mambo ni mengi January hii!Nice try bro but not quiet.
Neno Hat trick limetokana na mfanyabiashara kutoka Toronto aitwae Sammy Taft kutangaza biashara yake ya kofia (hat) kwa kumzawadia mchezaji ambaye atafikisha magoli matatu katika mechi moja katika ligi ya NHL.Neno "HAT TRICK" nani anaweza kujaribu kuelezea limetokana na nini? Zawadi ipo kwa atakae jibu kwa usahihi.
Hapo mwanzo wafanya mazingaombwe walikuwa wakitoa vitu mbalimbali toka kwenye kofia (HAT). Basi kutokana na ugumu wa kufunga magoli matatu kwenye mchezo wa miguu basi watu wakaanza kuita HAT TRICK wakimaanisha ni kitu kinachoweza kufanywa kwa nadra na ni kama uchawi kufanikiwa kufanya hivyo.Neno "HAT TRICK" nani anaweza kujaribu kuelezea limetokana na nini? Zawadi ipo kwa atakae jibu kwa usahihi.