Neno Hayati

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
993
Reaction score
703
Nisaidieni kujua iwapo neno HAYATI ni sahihi kulitumia kwa kumaanisha neno Marehemu. Kama kusema Hayati Malima au hayati Kambona. Na kama si mahala pake hapo ni wapi neno HAYATI linaweza kutumika ki usahihi
 
Hayati=mtu aliyekuwa na hadhi fulani ktk jamii/nchi.

Marehemu=mtu ambaye hakuwa na hadhi ktk jamii/nchi e.g. mimi na wewe+machingaz, wanafunzi wa msingi na sek+chekechea et al.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…