khaliciouz JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 579 Reaction score 210 Feb 22, 2015 #1 1/2 Heller, fedha iliyotumika Tanganyika (Germany East Africa) wakati wa utawala wa Mjerumani. Neno hela linalotumika sasa limetokana na Heller. Pia ilikuwepo 1 Heller na 5 Heller.
1/2 Heller, fedha iliyotumika Tanganyika (Germany East Africa) wakati wa utawala wa Mjerumani. Neno hela linalotumika sasa limetokana na Heller. Pia ilikuwepo 1 Heller na 5 Heller.