JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
mara nyingi watangazaji wa redio wamekuwa wakilitumia neno hili ''nigga'' au kucheza nyimbo zenye neno hili bila kukatwa au maneno mengine pia, hivi hawajafundishwa maadili ya maneno ya kutumia au redio hazina clean version ya hizo nyimbo? au maneno haya sio offensive kama zamani?