Neno hili linamaana gani

radiation

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
241
Reaction score
254
lipo neno ama msemo ambao hutumika sana siku hizi "KAMA MBWAI IWE MBWAI"je kuna mwenye maana ya hili neno na asili yake
 
Kwa maana ya haraka haraka ni " kama noma na iwe noma" asili ya neno hilo ni kutoka moja ya makabila mkoani Tanga
 
lipo neno ama msemo ambao hutumika sana siku hizi "KAMA MBWAI IWE MBWAI"je kuna mwenye maana ya hili neno na asili yake

Eeee! Karibu Tanga. MBWAI ni neno la lugha za Tanga (Kibondei, Kisambaa, nadhani na Kizigua) likimaanisha NINI.

Sasa vijana rijali wanapotaka kuzichapa ndondi wanaulizana, NINI...NINI au MBWAI...MBWAI. Baada ya hapo konde la kwanza linatupwa.

Wagosi na wandee wa kaya, haya nihinyani. (Hiki ni Kibondei) kikimaanisha
Ladies and Gentlemen from home, correct or advise me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…