Neno Jipya Sokoni 'Kusahafu'

Neno Jipya Sokoni 'Kusahafu'

Mangisandy

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
2,652
Reaction score
2,273
Mama mh. SSH ameshatupatia neno jipya kusahafu (kusaafu?) ng’ombe. Kazi Ina endelea na darasa humo humo!
 
Kusahafu= breeds.Sio lazima awe ng'ombe. Kwenye mazao pia kuna breeds pia
 
Itapita tu, tuwe wavumilivu ingawa sijui tvumilie nini maana uongozi wa nchi hii ni kama goli inayozungushwa kwenye ringi, hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom