Neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake

Neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake

Nyaubikra

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
1,339
Reaction score
3,319
kama title inavyosema apo juu wakuu
nimekua nikilisikia hili neno ila sijapata maana yake kamil
neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake na isitoshe kuna watu wana litumia sana humu





naamin ntapata msaada kwa kina



cc.nyau mwenye bikra
 
Nonsense neno watu wanalotumia wakiamini ukifanyacho kinakurudia nadhani wamesahau hakunaga usawa ktk hii dunia na watu wabaya ndo wanafanikiwa

Mara nyingi linatumika na watu dhaifu na ni ajabu mwanaume kutumia neno karma waachie wakina Dada

Ni kama vile dua la kuku halimpati mwewe
 
Back
Top Bottom