Nonsense neno watu wanalotumia wakiamini ukifanyacho kinakurudia nadhani wamesahau hakunaga usawa ktk hii dunia na watu wabaya ndo wanafanikiwa
Mara nyingi linatumika na watu dhaifu na ni ajabu mwanaume kutumia neno karma waachie wakina Dada
Ni kama vile dua la kuku halimpati mwewe