Neno "KAVU" lina maana gani?

Neno "KAVU" lina maana gani?

"Kavu" ni msemo ulioanzia Maeneo ya pwani tena ulianzishwa na wahuni wavuta bangi n.k

Na Sasa umesambaa Maeneo mengi ,japo haujawa rasmi kwenye msamiati wa kiswahili

Ukimaanisha mtu mchoyo au miyeyusho
 
Hili neno lina maana gani?
Utasikia mtu anakwambia "yule jamaa ni kavu tu."
Inategemeana lilitumika katika muktadha wa sentensi gani?

Kiuhalisia inatafsirika kama " isiyo tepetevu, isiyo na maji maji".

Kama ni "kiswahili kitarafa" yaweza kuwa linatumika kumpasulia mtu ukweli bila kumumunya maneno na kama ni masuala ya ngono, tafsiri ya neno hili kila mtu anaijua.
 
Back
Top Bottom