kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Jamani kuuliza sio ujinga mimi nasoma humu ndani kila siku najiuliza hili ni tusi au nini leo naomba tuambiane huli neno maana yake ni nini na chimbuko lake pia KIGODORO!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"he he heee......haloooo..... kantangaze!"
Kigodoro ni zile harusi za uswahilini mkuu

Malizia kua ni zile harusi ambazo lazima wakeshe Usiku na Taarabu juu,
Hapo ndipo unapowasikia kina MSAGA SUMU na mwenzie KHALID KAPALA kama ma-MC.
Mara nyingi harusi hizi hua hazipelekwagi Diamond Jubilee, Mlimani City, wala Mirado Sinza, bali hapo hapo mtaani ndio ukumbi wenyewe. Ni kiasi tu cha kuweka mawe au matairi upande mmoja wa barabara na mwingine ili kuzuia magari kupita, na wala hii haihitaji kibali cha yoyote.
Pia hakunaga mwaliko wa kadi bali wewe mwenyewe ni kadi tosha.
Godoro ni la kulalia, na hizi harusi hua hawalalagi, na pengine hukesha mpaka asubuhi. Ndio maana kwa kua ni mbadala wa kitanda basi ikapewa hilo jina.
neno lingine hilo....'kantangaze' cjui linatumikaje!!!!!

Nguo za ndani hubana mwili, na Hao wadada hua wamelenga wacheze kwa kutingisha maungo yao (kukatika), akivaa nguo ya ndani itamfanya ashindwe kuchezesha au kutingisha maungo vizuri.Ni kwa nini wadada huwa hawavai nguo za ndani wakati wa kigodoro
Naomba utuwekee video ya kigodoro mpnzNguo za ndani hubana mwili, na Hao wadada hua wamelenga wacheze kwa kutingisha maungo yao (kukatika), akivaa nguo ya ndani itamfanya ashindwe kuchezesha au kutingisha maungo vizuri.
Umetupia video ya kigodoro?
Nguo za ndani hubana mwili, na Hao wadada hua wamelenga wacheze kwa kutingisha maungo yao (kukatika), akivaa nguo ya ndani itamfanya ashindwe kuchezesha au kutingisha maungo vizuri.