goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
Asante mkuu, naongezea; kupiga soga, kupiga ngoma, kupiga ramli, kupiga zumari, kupiga mfano.kupiga deki -- kunafisha, unafishaji
kupiga mswaki -- kusawisha, ukoshaji au kukosha (meno)
kupiga kura -- kudahini, udainishaji
kupiga chafya -- hekemua
kupiga chapa -- kuhatini, kuhatisha, uhatishaji
kupiga mbizi -- kukauni, kauni (mbizi)
kupiga msasa -- kusaniwiri, usaniwirishaji
kupiga dili -- tafirisha, utafirishaji
kupiga hodi -- kubisha hodi, adihini, hodisha
kupiga domo -- bwabwaja
VipiWanalugha naomba kujua ikiwa neno hili Kupiga haliwezi kupata usaidizi au lipo neno lingine lifaalo kwa ajili ya kusaidia neno hilo. Utasikia
- Kupiga deki,
- kupiga mswaki,
- kupiga kura,
- kupiga chafya,
- kupiga chapa,
Hili neno kwanza tafsiri yake sio ya heri bali shari. Kwa hiyo ingependeza kama tungepata neno lingine litumike badala yake.