Mwenye madaraka Ethiopia ni waziri mkuu, siyo Rais, huyo ni ceremonial Tu.Mheshimiwa raisi karibu sana nchini kwetu. Nchi yako imepitia migogoro mingi sana ya ndani na mingine na nchi jirani. Naomba tafakari na fuata utaratibu unaofaa juu ya kupata eneo la bandari kule somaliland. Ufahamu kuwa somaliland sio nchi bali ni sehemu ya Somalia 🇸🇴.
Yes mkuu, humu ndani hii dot.com uelewa wao ni changamoto sana,yeye kayaona ya mbali (Somalia)yanayomuathiri yeye directly hayaoni, Ethiopians wengi wanaruka ukuta kuingia hapa nchini, hili ni tatizo maana hawa jamaa wanatuona sisi hatuwezi kulinda nyumba yetu, why wasipitie mlangoni, wakati tuna milango mingi tu?,why warukie madirishani?,yes wengi wanapita kwenda kwa Madiba, ila waingie hapa thr proper channels sio kulidhalilisha jeshi letu kuonekana hizi borders zetu zipo porousMwenye madaraka Ethiopia ni waziri mkuu, siyo Rais, huyo ni ceremonial Tu.
Una akili nyingi sana🦾Mwenye madaraka Ethiopia ni waziri mkuu, siyo Rais, huyo ni ceremonial Tu.
Hilo swala la border NI mtandao mkubwa unaohusisha Watanzania, ni biashara inayolipa vizuri Sana sometimes watumishi wa vyombo vya dollar wanahusika.Yes mkuu, humu ndani hii dot.com uelewa wao ni changamoto sana,yeye kayaona ya mbali (Somalia)yanayomuathiri yeye directly hayaoni, Ethiopians wengi wanaruka ukuta kuingia hapa nchini, hili ni tatizo maana hawa jamaa wanatuona sisi hatuwezi kulinda nyumba yetu, why wasipitie mlangoni, wakati tuna milango mingi tu?,why warukie madirishani?,yes wengi wanapita kwenda kwa Madiba, ila waingie hapa thr proper channels sio kulidhalilisha jeshi letu kuonekana hizi borders zetu zipo porous
Nawe mkuu umeamua kukalia informations hizi muhimu wakati wachache hawa wakiivuruga nchi na kuonekana ni banana republic, including jeshi lakeHilo swala la border NI mtandao mkubwa unaohusisha Watanzania, ni biashara inayolipa vizuri Sana sometimes watumishi wa vyombo vya dollar wanahusika.
Hakuna kisichojurikana, Usalama wa Taifa sasa hivi wanafanyakazi mpaka ngazi ya kata.Nawe mkuu umeamua kukalia informations hizi muhimu wakati wachache hawa wakiivuruga nchi na kuonekana ni banana republic, including jeshi lake